Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WATUMISHI OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAFANYA UTALII HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE KUMUUNGA MKONO MHE. RAIS KUUTANGAZA UTALII


Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora waliofanya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire, mara baada ya kumalizika kwa Mkutano Maalum wa Baraza la Wafanyakazi la ofisi hiyo uliofanyika Babati Mkoani Manyara.