Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WATAALAM WA TEHAMA SERIKALINI WATAKIWA KUPATA KIBALI CHA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO KABLA YA KUTEKELEZA MIRADI YA TEHAMA ILI KUTOPOTEZA MAPATO YA SERIKALI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwasili kwenye ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, habari na mawasiliano Chuo Kikuuu Dodoma   kufungua kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya TEHAMA Serikalini jijini Dodoma. Wa kwanza kulia kwake ni Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Hassan Kitenge na wa kwanza kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Mhandisi Benedict Ndomba.