Habari
WALENGWA WA TASAF BORESHENI MAISHA YENU ILI KUUNGA MKONO AZMA YA MHE. RAIS YA KUBORESHA MAISHA YA KAYA MASIKINI–Mhe. Ndejembi

Walengwa wa TASAF wa Kijiji cha Arri, Kata ya Nangara, Halmashauri ya Mji Babati wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kwenye Halmashauri hiyo.