Habari
WAHITIMU WA MAFUNZO YA UONGOZI WATAKIWA KUTUMIA VIZURI ELIMU WALIYOIPATA KUSIMAMIA RASILIMALIWATU NA FEDHA
							Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wahitimu wa Astashada na Stashahada ya Uzamili ya Uongozi wakati wa mahafali ya tano ya Taasisi ya UONGOZI yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
