Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

VIONGOZI MKOANI RUVUMA WATAKIWA KUSIMAMIA RASILIMALIWATU ILI KUINUA PATO LA TAIFA KUPITIA FILAMU YA ‘THE ROYAL TOUR’


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akionyesha tuzo aliyoipokea kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Kanali Laban Thomas wakati wa tamasha la kuenzi mchango wa filamu ya ‘The Royal Tour’ lililofanyika uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.