Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

ASAF YABORESHA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO MKOANI NJOMBE-MHE. JENISTA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akielezea azma ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ya kutoa fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa ajili ya kuboresha huduma za afya katika Mkoa wa Njombe.