Habari
SERIKALI YATAKA WANAOKAIMISHWA NAFASI ZA MADARAKA KUWA NA SIFA STAHIKI

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na baadhi ya walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika Kijiji cha Nyamwaga kilichopo Wilaya ya Tarime mkoani Mara mara baada ya kuzungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Mara.