Habari
SERIKALI YATAKA WANAOKAIMISHWA NAFASI ZA MADARAKA KUWA NA SIFA STAHIKI

Sehemu ya Watumishi wa Manispaa ya Musoma wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Ridhiwani Kikwete wakati akizungumza na leo Mkoani hapo kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji