Habari
SERIKALI YATAKA WANAOKAIMISHWA NAFASI ZA MADARAKA KUWA NA SIFA STAHIKI

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe.Said Mtanda akizungumza na Watumishi mara baada ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Ridhiwani Kikwete kuzungumza nao ambapo amewataka Watumishi hao kufanya kazi kwa bidii