Habari
SERIKALI YATAKA WANAOKAIMISHWA NAFASI ZA MADARAKA KUWA NA SIFA STAHIKI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Ridhiwani Kikwete akiwa ameambatana na Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dkt. Khalifan Haule mara baada ya kuwasili katika Manispaa hiyo ya Musoma Mkoani Mara kwa ajili ya kuzungumza na kusikiliza changamoto zinazowakabili w watumishi hao