Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

OFISI YA RAIS UTUMISHI YATEKELEZA KWA WAKATI MAELEKEZO YA MHE. RAIS YA KUPANDISHA MISHAHARA YA WATUMISHI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama akizungumzia utekelezaji wa maelekezo ya kuwapandisha mishahara Watumishi wa Umma yaliyotolewa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 2022 yaliyofanyika kitaifa jijini Dodoma.