Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MICHEZO YA SHIMIWI INAJENGA AFYA ZA WATUMISHI WA UMMA ILI WAWEZE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO NA KUWA NA TIJA KIUTENDAJI – Mhe. JENISTA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama akikabidhi mpira kwa timu za mpira wa miguu kwa wawakilishi wa timu hizo wakati wa Sherehe za ufunguzi wa michezo ya SHIMIWI iliyofanyika jijini Tanga.