Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MICHEZO YA SHIMIWI INAJENGA AFYA ZA WATUMISHI WA UMMA ILI WAWEZE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO NA KUWA NA TIJA KIUTENDAJI – Mhe. JENISTA


Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakipita kutoa salamu mbele ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa Sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Idara na Wizara za Serikali (SHIMIWI) zilizofanyika jijini Tanga.