Habari
MICHEZO YA SHIMIWI INAJENGA AFYA ZA WATUMISHI WA UMMA ILI WAWEZE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO NA KUWA NA TIJA KIUTENDAJI – Mhe. JENISTA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akicheza netiboli katika uwanja wa Bandari jijini Tanga wakati wa Sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Idara na Wizara za Serikali (SHIMIWI)