Habari
MHESHIMIWA RAIS AMEDHAMIRIA KILA MLENGWA WA TASAF ANAISHI MAISHA BORA-Mhe. Jenista

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete wakiwa mbele ya nyumba ya mlengwa wa TASAF, Bi. Magdalena Akaro wa Kijiji cha Ngumbaru Kata ya Songu Wilayani Siha walipomtembelea mlengwa huyo kushuhudia namna alivyoboresha maisha yake kupia TASAF.