Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHESHIMIWA RAIS AMEDHAMIRIA KILA MLENGWA WA TASAF ANAISHI MAISHA BORA-Mhe. Jenista


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Mhe. Jenista Mhagama kuzungumza na wananchi na walengwa wa TASAF wa Kijiji cha Wiri kata ya Gararagua Wilayani Siha (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri Jenista iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini wilayani humo.