Habari
MHE. SIMBACHAWENE AWATAKA WAHITIMU WA TPSC KUFAHAMU KUWA UTUMISHI WA UMMA NI IBADA

Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini, Mhe Hashim Mgandilwa akitoa salamu za Mkoa wa Tanga kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo wakati wa mahafali ya 37 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania yaliyofanyika mkoani Tanga.