Habari
MHE. SIMBACHAWENE AIPONGEZA WHI KWA KUENDELEA KUJENGA MAKAZI BORA YA WATUMISHI , ASISITIZA KUJENGA ZAIDI KARIBU NA MAENEO YA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investments (WHI), Dkt. Fred Msemwa akitoa ufafanuzi kwa Waandishi wa Habari kuhusu mradi wa nyumba zilizojengwa na WHI eneo la Njedengwa na Kisasa Relini jijini Dodoma.