Habari
MHE. RIDHIWANI KIKWETE ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA IDARA YA USIMAMIZI WA RASILIMALIWATU SERIKALINI

Mkurugenzi Msaidizi anayesimamia sehemu ya Usimamizi wa Orodha ya Malipo ya Mishahara, Bi, Jeanfrida Mushumbusi akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya sehemu anayoisimamia kwa Naibu waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Serikalini kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini Dodoma.