Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. RIDHIWANI KIKWETE ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA IDARA YA USIMAMIZI WA RASILIMALIWATU SERIKALINI


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, ACP Ibrahim Mahumi wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini Dodoma.