Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. RIDHIWANI KIKWETE AELEKEZA KUBUNI NJIA ZA KUWAPA MOTISHA WATUMISHI ILI WATOE HUDUMA BORA KWA WANANCHI


Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Mishahara na Motisha, Bwana Ghubas Vyagusa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya sehemu yake kwa Naibu waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi wa Idara ya Mishahara, Motisha na Marupurupu kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini Dodoma kwa lengo la kufahamu majukumu ya Idara hiyo na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa Idara hiyo.