Habari
MHE. NDEJEMBI AIELEKEZA TASAF KUJENGA UZIO SHULE YA SEKONDARI YA OLDONYOWAS ILI KULINDA MIUNDOMBINU YA SERIKALI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Oldonyowas katika shule ya Sekondari Oldonyowas mkoani Arusha wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.