Habari
MHE. JENISTA MHAGAMA AWATEMBELEA MAMA JANETH MAGUFULI NA MAMA ASINA KAWAWA KUWAJULIA HALI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Mama Asina Kawawa, mjane wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Rashid Mfaume Kawawa, alipoenda kumjulia hali nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.