Habari
MHE. JENISTA AZIONYA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOKAIDI KUFANYA VIKAO VYA MABARAZA YA WAFANYAKAZI KWA MUJIBU WA SHERIA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifungua Kikao cha Pili cha Baraza la Sita la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu kilichofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro.