Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. JENISTA AZINDUA HUDUMA YA HEKIMA BANKING TABASAMU LA KUSTAAFU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WASTAAFU IKIWEMO KUTAPELIWA MAFAO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na watumishi wanaotarajia kustaafu, wastaafu na watendaji wa Benki ya Stanbic kabla ya kuzindua huduma mpya ya kibenki ya Hekima Banking Tabasamu la Kustaafu inayotolewa na Benki ya Stanbic kwa ajili ya kuwawezesha wastaafu kuwekeza ili kuwa na maisha mazuri baada ya kustaafu.