Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. JENISTA AWATAKA VIONGOZI NA WATENDAJI SERIKALINI KUSIMAMIA KIKAMILIFU RASILIMALIWATU ILI KUEPUSHA MIGOGORO SEHEMU ZA KAZI KWA USTAWI WA TAIFA


Watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Arusha, Jiji na Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo mkoani Arusha iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.