Habari
MHE. JENISTA ATOA WITO KWA WAKAZI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KURASIMISHA ARDHI ILI KUPATA MTAJI WA KUJENGA NYUMBA ZA WAGENI ZINAZOHITAJIWA NA WATALII

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na wajasiriamali na wafanyabiashara wa Mkokotoni, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja mara baada ya kuzindua Kituo Jumuishi cha Urasimishaji na Uendelezaji wa Biashara, Zanzibar.