Habari
MAKTABA YA UONGOZI KUCHOCHEA UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI KATIKA KULITUMIKIA TAIFA - Mhe. Jenista

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizindua maktaba ya Uongozi inayoratibiwa na Taasisi ya UONGOZI katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.