Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MAKTABA YA UONGOZI KUCHOCHEA UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI KATIKA KULITUMIKIA TAIFA - Mhe. Jenista


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI, Bw. Kadari Singo wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa uzinduzi wa maktaba ya Uongozi na toleo la Kiswahili la tawasifu ya Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa “Maisha Yangu, Kusudi Langu” katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.