Habari
MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA WATUMISHI WA UMMA KIJIJI CHA KIJIWENI, HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI, MKOANI LINDI

Mwonekano wa jengo la mradi wa makazi ya watumishi wa umma lililopo katika Kijiji cha Kijiweni, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi.