Habari
MAAFISA UCHUNGUZI WANAFUNZI WA TAKUKURU WAASWA KUPAMBANA NA WATU WANAOIUMIZA JAMII KWA VITENDO VYA RUSHWA ILI KULINDA MASLAHI YA NCHI

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu akitoa salamu za mkoa wake kabla ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kufungua mafunzo ya Maafisa Uchunguzi na Wachunguzi Wasaidizi wa TAKUKURU mjini Moshi katika Shule ya Polisi Tanzania.