Habari
KIKAO KAZI CHA WARATIBU WA JINSIA MAHALI PA KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Mkurugenzi Msaidizi Anuai za Jamii na Mratibu wa VVU, Ukimwi na Magonjwa Yasiyoambukiza, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Mwanaamani Mtoo akiwasilisha mada kuhusu Mwongozo wa Kuzingatiwa Kuimarisha Ujumuishwaji wa Jinsia katika Utumishi wa Umma wakati wa kikao kazi kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa mipango kazi ya ujumuishwaji wa jinsia ya Mwaka wa fedha 2024/25 kilichofanyika jijini Dodoma.