Habari
KAMATI YA USEMI YAPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO YA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa kipindi cha nusu mwaka kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo jijini Dodoma.