Habari
KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAIPONGEZA OFISI YA RAIS-UTUMISHI KWA KUJIPANGA KIKAMILIFU KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (Wa kwanza kulia), Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi (Wa pili kutoka kulia), Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka (Wa tatu kutoka kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni (Wa nne kutoka kulia) wakisikiliza hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Ofisi yake kwa mwaka 2022/23.