Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

JADILINI MWONGOZO WA MPANGO WA TAIFA WA RASILIMALIWATU KWA KUTAZAMA MAENDELEO YA TAIFA KATIKA MIAKA 20 HADI 30 IJAYO-BW. DAUDI


Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi akizungumza na wadau kutoka katika taasisi za umma (hawapo pichani) kabla ya kufungua kikao kazi cha wadau hao kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuboresha Rasimu ya Mwongozo wa Mpango wa Taifa wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma.