UTANGULIZI

  • Siku ya Utumishi wa Umma Barani Afrika ni siku maalum ya Watumishi wa Umma ambayo husherehekewa kila tarehe 23 Juni na Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kwa lengo la kutambua mchango wa Watumishi wa Umma katika maendeleo ya Nchi zao na Bara la Afrika kwa ujumla. Chimbuko la Sherehe hizi ni uamuzi wa Mkutano wa Mawaziri wenye dhamana
Soma Zaidi

MALENGO

  • Kuwezesha Watumishi wa Umma kutambua Dira, Dhima, na Malengo; Programu na Mikakati; na Mafanikio na Changamoto zinazokabili Utumishi wa Umma;
  • Kutambua mchango na umuhimu wa Watumishi wa Umma na umuhimu wao katika kuleta maendeleo katika Nyanja mbalimbali katika Taifa;
Soma Zaidi

FAIDA

  • Wananchi kupata fursa ya kufahamu wajibu na haki zao ili pale ambapo wanakosa haki zao kuweza kulalamika kupitia ofisi husika.
  • Taasisi za Umma kupata fursa ya kubadilishana uzoefu juu ya mbinu na mikakati mipya ya namna ya kutoa huduma bora kwa Umma;
Soma Zaidi