English | Swahili

WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI WATAKIWA KUWATUMIKIA VIZURI WATUMISHI WA UMMA WANAOWASIMAMIA ILI KUWAJENGEA ARI YA UTENDAJI KAZI

Naibu Katibu Mkuu,  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,  Bi.Dorothy Mwaluko akizungumza na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu waliohudhuria kikao kazi kilichofanyika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma.

Read More...

WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI WATAKIWA KUWATUMIKIA VIZURI WATUMISHI WA UMMA WANAOWASIMAMIA ILI KUWAJENGEA ARI YA UTENDAJI KAZI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao kazi cha Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma.

Read More...

WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI WATAKIWA KUWATUMIKIA VIZURI WATUMISHI WA UMMA WANAOWASIMAMIA ILI KUWAJENGEA ARI YA UTENDAJI KAZI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati mstari wa mbele), akifuatilia moja ya mada zilizowasilishwa katika kikao kazi cha Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu kilichofanyika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma.Kushoto kwake ni  Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi.Dorothy Mwaluko na kuli kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma Bw.Mathew Kirama.

Read More...

WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI WATAKIWA KUWATUMIKIA VIZURI WATUMISHI WA UMMA WANAOWASIMAMIA ILI KUWAJENGEA ARI YA UTENDAJI KAZI

Baadhi ya Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu serikalini wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi.Dorothy Mwaluko (hayupo pichani) wakati akifunga kikao kazi cha watendaji hao  kilichofanyika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma.

Read More...

SERIKALI YAWATAKA WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI KUSIMAMIA VIZURI RASILIMALIWATU ILI KUWEZESHA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi.Dorothy Mwaluko akizungumza na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu waliohudhuria kikao kazi kinachofanyika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma.

Read More...

SERIKALI YAWATAKA WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI KUSIMAMIA VIZURI RASILIMALIWATU ILI KUWEZESHA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akifungua rasmi  kikao kazi cha Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) kinachofanyika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma.

Read More...

SERIKALI YAWATAKA WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI KUSIMAMIA VIZURI RASILIMALIWATU ILI KUWEZESHA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Baadhi ya Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu serikalini wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) wakati akifungua kikao kazi cha watendaji hao  kinachofanyika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma.

Read More...

SERIKALI YAWATAKA WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI KUSIMAMIA VIZURI RASILIMALIWATU ILI KUWEZESHA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Zainab  Chaula akizungumza na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu kuhusu masuala ya kiutumishi katika kikao kazi kinachofanyika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma.

Read More...

WATENDAJI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI, TARATIBU NA MIONGOZO YA UTUMISHI WA UMMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akifungua mafunzo maalum kuhusu utekelezaji  sahihi wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo katika uendeshaji wa Utumishi wa Umma kwa Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu mjini Morogoro.  

Read More...

WATENDAJI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI, TARATIBU NA MIONGOZO YA UTUMISHI WA UMMA

  Baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu wakimsilikiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua mafunzo maalum kuhusu utekelezaji sahihi wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo katika uendeshaji wa Utumishi wa Umma kwa Watendaji hao, mjini Morogoro.

Read More...
Wasiliana na Dawati la Msaada Kupitia namba hizi 0682-800-999/ 0620464042 na barua pepe dawatilamsaada@utumishi.go.tz

News and Events

Quick Links

1270965
TodayToday1351
YesterdayYesterday3386
This_WeekThis_Week5170
This_MonthThis_Month70453
All_DaysAll_Days1270965

social media button generator

Location Map

Quick Contacts

Phone:+255 (026) 2963630
Fax:+255 (026) 2963629
Email :ps@utumishi.go.tz
Website:http://www.utumishi.go.tz

Site Poll

How do you rate our services?