English | Swahili

Mkurugenzi Idara ya Ushauri na Uchambuzi Kazi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Mick Kiliba (katikati mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Wakala ya Serikali Mtandao pamoja na washiriki wa kikao kazi cha Serikali Mtandao mara baada ya kufungua rasmi kikao kazi cha Serikali Mtandao kwa niaba ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya utumishi wa Umma katika ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano uliopo Chuo Kikuu Dodoma.

Quick Links

1611058
TodayToday2562
YesterdayYesterday2733
This_WeekThis_Week3193
This_MonthThis_Month57613
All_DaysAll_Days1611058

Location Map

Quick Contacts

Phone:+255 (026) 2963630
Fax:+255 (026) 2963629
Email :ps@utumishi.go.tz
Website:http://www.utumishi.go.tz

Site Poll

How do you rate our services?