English | Swahili

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akikabidhi hati ya umiliki wa ardhi kwa mmoja wa wanufaika wa mradi wa MKURABITA, kata ya Igumbilo mkoani Iringa wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kuzungumza na watumishi wa umma na  kutembelea miradi inayotekelezwa na taasisi zilizo chini ya ofisi yake.

Quick Links

1524436
TodayToday3169
YesterdayYesterday3836
This_WeekThis_Week11360
This_MonthThis_Month67125
All_DaysAll_Days1524436

Location Map

Quick Contacts

Phone:+255 (026) 2963630
Fax:+255 (026) 2963629
Email :ps@utumishi.go.tz
Website:http://www.utumishi.go.tz

Site Poll

How do you rate our services?