English | Swahili

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akihoji suala la kiutumishi kwa Kaimu Mkuu wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Bi. Susan Nyanda (hayupo pichani) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya zoezi la uhakiki wa Watumishi hewa na wenye vyeti vya kughushi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa.

Quick Links

235416
TodayToday2271
YesterdayYesterday2898
This_WeekThis_Week5453
This_MonthThis_Month47257
All_DaysAll_Days235416

Location Map

Quick Contacts

Phone:+255 (026) 2963630
Fax:+255 (026) 2963629
Email :ps@utumishi.go.tz
Website:http://www.utumishi.go.tz

Site Poll

How do you rate our services?