Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Bw. Cosmas Ngangaji akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi Bw. Juma Mkomi (hayupo pichani) wakati wa Mkutano Maalum wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo uliofanyika jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi hiyo Bw. Mussa Magufuli leo tarehe 26.03.2024.