More Links

Webmail
PSP
FAQ

Agencies

TPSC
TGDLC

Polls

How do you rate our Website
 

In Focus

FPSS slide image

Bendi ikiongoza maandamano ya watumishi wa Umma kutoka taasisi mbalimbali wakati wa sherehe za uzinduzi wa Wiki ya Utumishi wa Umma  

FPSS slide image

USHINDI: Watumishi wa Ofisi ya Rais wakifurahia ushindi kwa Utoaji wa Huduma Bora za Jamii, wakati wa maonesho ya Nane nane kiwanja cha Nzuguni Dodoma 

FPSS slide image

Shamrashamra wakati wa kumuaga aliyekua Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi wa Umma  Bw. F.Mbaga

FPSS slide image

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwanza wakielimishwa kuhusu matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA)  serikalini katika banda la Utumishi uwanja wa CCM Kirumba

FPSS slide image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha Bw. Dominick A. Minja wa Ofisi ya Rais-Utumishi Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la pili katika uwanja wa Nyerere Dodoma

FPSS slide image

Mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa Wiki ya Utumishi Waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mustafa Mkulo (wa pili kulia), akipata maelezo katika banda la Utumishi, akiwa na Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Eric F. Shitindi (wa kwanza kulia).

FPSS slide image

Bw. Fredrick Mbaga, na mkewe wakiwa na  zawadi waliyokabidhiwa katika sherehe ya kumuaga Bw. F. Mbaga kwa kustaafu 

FPSS slide image

Waziri wa Nchi, Utumishi Mhe. Hawa A. Ghasia akisaini kitabu cha wageni wakati wa maonesho ya Nane nane-Dodoma

FPSS slide image

Kaimu Katibu MKuu, Utumishi Bw. Eric F. Shitindi (watatu kutoka kulia),  katika picha ya pamoja na watumishi wa kujitolea kutoka nchini Japani mara ya kuwapokea

FPSS slide image

Kaimu Katibu Mkuu, Utumishi Bw. Eric F. Shitindi akiongea na vyombo vya habari kuhusu kauli ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kuhusu uchaguzi mkuu

FPSS slide image

Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. Abbas Kandoro tuzo wakati wa kilele cha maonesho ya Wiki ya Utumishi  baada ya mkoa wake kuibuka mshindi katika kushughulikia masuala ya ugonjwa wa UKIMWI 

FPSS slide image

Bw. Dominick Minja aliyetunukiwa Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la pili, akiongea katika hafla iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais-Utumishi kuwapongeza watumishi waliotunukiwa nishani

FPSS slide image

Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Phillemon Luhanjo, kati kati (waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na Naibu na Naibu Makatibu Watendaji walioteuliwa hivi karibuni wakati wa mafunzo elekezi kwa viongozi hao-Dodoma, Kushoto (waliosimama) ni Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Eric F. Shitindi

FPSS slide image

Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa na kikombe cha ushindi wakati wa maonesho ya Nane nane, kiwanja cha Nzuguni Dodoma

FPSS slide image

Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akiwa katika picha ya pamoja na moja kati ya washindi wa maonesho ya Wiki ya Utumishi katika kiwanja cha CCM Kirumba, Mwanza

FPSS slide image

Mteja akihudumiwa katika banda la Ofisi ya Rais, Utumishi wakati wa maonesho ya wiki ya Utumishi, uwanja wa CCM Kirumba 

FPSS slide image

Mtumishi wa Ofisi ya Rais-utumishi akieleza faida za kupima na kuwa mkweli kuhusu afya wakati wa mafunzo kuhusu ugonjwa wa UKIMWI

FPSS slide image

Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akihudumia wateja wakati wa maonesho ya Saba saba - Dar es salaam

FPSS slide image

Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia akimtunuku cheti Katibu wa Baraza Kuu katika Utumishi wa Umma na Baraza la Majadiliano ya pamoja katika Utumishi wa Umma Bw. Mathias Kabunduguru baada ya kumaliza muda wa nafasi hiyo

FPSS slide image

Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Eric F. Shitindi akiongea na vyombo vya habari wakati wa maonesho ya Nane nane-Dodoma

FPSS slide image

Jengo la Serikali-Mtandao lililozinduliwa sambamba na Awamu ya pili ya Programu ya Kuboresha Utumishi wa Umma.

FPSS slide image

Wadau wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakipata huduma wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi, Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza

FPSS slide image

Katibu Mkuu- Utumishi Bw. George D. Yambesi, wa nne kutoka kulia waliokaa, katika picha ya pamoja na Watendaji wakuu wa Wakala wa Serikali baada ya kufungua mkutano wao wa kila mwaka

FPSS slide image

Waziri wa Fedha na Uchumi  Mh. Mustafa H. Mkulo akifungua rasmi maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, uwanja wa CCM Kirumba Mwanza

FPSS slide image

Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akihutubia wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Mwanza

FPSS slide image

WIKI YA UTUMISHI - MWANZA: Wananchi wakipata maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi katika kiwanja cha CCM Kirumba

FPSS slide image

Mkuu wa sehemu ya Utumishi-Bi. Jane Kajiru akifungua mafunzo kuhusu ugonjwa wa UKIMWI kwa watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi  jijini Dar es salaam

FPSS slide image

Mmoja wa watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi akipata ushauri kabla ya kupima afya

FPSS slide image

Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Mick Kiliba, katikati,  akiongea katika hafla ya kumuaga Bw. Fredirick Mbaga (kulia) aliyekua Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi wa Umma kwa kustaafu, kushoto, mke wa Bw. Mbaga.

FPSS slide image

Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A.Ghasia (MB) akimkabidhi vitendea kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. David K. Jairo (kushoto) baada ya kuzindua rasmi wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania

FPSS slide image

Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia akimkabidhi zawadi Katibu Mkuu-Utumishi Bw. George D. Yambesi katika hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata nishani za utumishi wa muda mrefu

FPSS slide image

Wakazi wa Mwanza na mikoa ya jirani wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Wiki ya Utumishi wa Umma, uwanja wa CCM Kirumba

FPSS slide image

Watumishi kutoka katika taasisi mbalimbali za serikali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo kuhusu TEKNOHAMA yaliyofanyika  Morogoro

OPRAS NA MIKATABA YA HUDUMA KWA MTEJA KUONDOA UBABAISHAJI

Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Hawa A. Ghasia (MB) amesema Serikali imeanzisha matumizi ya Mikataba ya Huduma kwa Mteja na Upimaji wa wazi wa utendaji kazi  (OPRAS) ili kujenga misingi thabiti ya kutoa huduma kwa wananchi na kuondoa ubabaishaji. soma zaidi ...

Last Updated ( Wednesday, 16 September 2009 )
Read more...
 
HOTUBA YA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2009/2010

Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Hawa A. Ghasia (MB) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya matumizi ya fedha kwa mwaka 2009/2010. Tafadhali bonyeza hapa kusoma zaidi >>> 

Last Updated ( Saturday, 27 June 2009 )
 
USHIRIKIANO NA SEKTA MBALIMBALI UTAIMARISHA HUDUMA ZA SERIKALI AFRIKA

Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohamed Shein amesema utoaji wa huduma za umma katika Bara la Afrika utaweza kuimarika ikiwa Serikali zitashirikiana na wahusika mbalimbali ambao ni pamoja na Serikali za Mitaa, asasi zisizo za kiserikali, mashirika ya kidini na sekta binafsi. Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma Barani Afrika katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.  Tafadhali soma hotuba kamili, inaendelea... 

Last Updated ( Saturday, 20 June 2009 )
Read more...
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Results 5 - 8 of 37

Events Calendar

September 2010 October 2010
Su Mo Tu We Th Fr Sa
Week 35 1 2 3 4
Week 36 5 6 7 8 9 10 11
Week 37 12 13 14 15 16 17 18
Week 38 19 20 21 22 23 24 25
Week 39 26 27 28 29 30

Upcoming Events

There are no upcoming events currently scheduled.

Who's Online

We have 63 guests online