Details for Nafasi za Kazi,Wizara ya Maliasili na Utalii

PropertyValue
Name:Nafasi za Kazi,Wizara ya Maliasili na Utalii
Description:

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na SheriaNa. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja nakazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya
Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi kwa waajiri mbalimbali katikaUtumishi wa Umma kama tangazo linavyoonyesha.

Filename:TANGAZO LA KAZI Maliasili 30 Machi 2012.pdf
Filesize: 179.68 kB
Filetype:pdf (Mime Type: application/pdf)
Creator:happy
Created On: 03/30/2012 13:44
Viewers:Everybody
Maintained by:Editor
Hits:2361 Hits
Last updated on: 04/19/2012 11:51
Homepage: