Details for Nafasi za Kazi,Wizara ya Maliasili na Utalii
| Property | Value |
| Name: | Nafasi za Kazi,Wizara ya Maliasili na Utalii |
| Description: | Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na SheriaNa. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja nakazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi kwa waajiri mbalimbali katikaUtumishi wa Umma kama tangazo linavyoonyesha. |
| Filename: | TANGAZO LA KAZI Maliasili 30 Machi 2012.pdf |
| Filesize: |
179.68 kB |
| Filetype: | pdf (Mime Type: application/pdf) |
| Creator: | happy |
| Created On: |
03/30/2012 13:44 |
| Viewers: | Everybody |
| Maintained by: | Editor |
| Hits: | 2361 Hits |
| Last updated on: |
04/19/2012 11:51 |
| Homepage: | |
Online users
We have 156 guests online