Bendi ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano katika sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi 2013) kuelekea viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.