Waziri Mkuu aitaka Jamii kushiriki kikamilifu katika vita dhidi ya rushwa nchini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akizindua jengo jipya la TAKUKURU katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Mkoani Lindi. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali, John Mbungo.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akizindua jengo jipya la TAKUKURU katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Mkoani Lindi. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali, John Mbungo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akizindua jengo jipya la TAKUKURU katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Mkoani Lindi. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali, John Mbungo na katikati ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb).