Wamiliki vyombo vya usafiri jijini dodoma washauriwa kuchangamkia fursa ya kutoa huduma ya usafiri

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akisisitiza jambo baada ya kukamilika kwa ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa ofisi za Utumishi katika mji wa serikali Ihumwa, jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb).