WAHITIMU WA MAFUNZO YA UONGOZI WATAKIWA KUTUMIA VIZURI UJUZI WALIOUPATA ILI KUONGEZA UFANISI KAZINI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akimpongeza mmoja wa watumishi kutoka Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Leonce Temba baada ya kuhitimu mafunzo ya Stashahada ya Juu ya Masuala ya UongoziNaibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akimpongeza mmoja wa watumishi kutoka Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Leonce Temba baada ya kuhitimu mafunzo ya Stashahada ya Juu ya Masuala ya Uongozi

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akimpongeza mmoja wa watumishi kutoka Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Leonce Temba baada ya kuhitimu mafunzo ya Stashahada ya Juu ya Masuala ya Uongozi katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.