UTUMISHI yashiriki maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika picha ya pamoja baada ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma tarehe 8 Machi, 2019.