Ufuatiliaji na Tathmini Serikalini ni chachu ya utendaji kazi na uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Nolasco Kipanda akitoa neno la utangulizi wakati wa mafunzo ya wadau ya siku mbili ya kuwajengea uwezo wa UfuatiliajI na TathminKaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Nolasco Kipanda akitoa neno la utangulizi wakati wa mafunzo ya wadau ya siku mbili ya kuwajengea uwezo wa UfuatiliajI na Tathmin

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Nolasco Kipanda akitoa neno la utangulizi wakati wa mafunzo ya wadau ya siku mbili yenye lengo la kuwajengea uwezo wa Ufuatiliaji na Tathmini watendaji wa Serikali yanayofanyika jijini Dodoma.